Tenzi Za Rohoni

Покупки через додаток
1 млн+
Завантаження
Вікові обмеження
PEGI 3
Знімок екрана
Знімок екрана
Знімок екрана
Знімок екрана
Знімок екрана
Знімок екрана
Знімок екрана
Знімок екрана

Про цей додаток

Tenzi za Rohoni ni program inayojumuisha mkusanyiko wa nyimbo 161 kutoka katika kitabu cha Tenzi Za Rohoni kwa luugha ya Kiswahili.
Programu hii imeandaliwa kukuwezesha kumwamudu Mungu kwa njia ya uimbaji mahali popote na muda wowote.

Sifa za program ni kama zifuatazo:-

• Inahusisha eneo la utafutaji ambapo unaweza kutafuta wimbo kwa namba au kwa
neno unalokumbuka liwe jina la wimbo kwa Kiswahili, kwa kiingereza au maneno
yaliyo ndani ya wimbo.

• Inakuwezesha kuweka nyimbo unazozipenda katika orodha tofauti na hivyo kuupata
kwa urahisi wakati mwingine, pia unaweza kuuondoa pale unapoona inafaa.


• Inakuwezesha kufuatilia wimbo kwa njia ya ala za sauti (спасибі hymnserve.com за
акомпанемент).

• Inakuwezesha kucheza ala hata ukiwa haupo kwenye program

• Inakuwezesha kuona wimbo unaocheza ala ukiwa kwenye nyimbo zingine.

• Inakuwezesha kuona wimbo uliofungua mara ya mwisho kwa kuuangaza.

• Inakuwezesha kukuza ukubwa wa maandishi wa maneno ya wimbo kadri unavyoona
inafaa.


• Inakuwezesha kushiriki maneno ya wimbo na ndugu jamaa na marafiki kwa urahisi.

• Inakuwezesha kubadili muonekano wa program unaofaa katika mazingira ya
Mwanga au Giza ili kuwezesha uono usioumiza macho.
Оновлено
18 лют. 2025 р.

Безпека даних

Безпека визначається тим, як додаток збирає і кому передає ваші дані. Способи забезпечення конфіденційності й захисту даних можуть різнитися залежно від використання додатка, регіону та віку користувача. Розробник, який надає цю інформацію, може оновлювати її.
Дані не передаються третім сторонам
Докладніше про те, як розробники заявляють про передавання даних
Дані не збираються
Докладніше про те, як розробники заявляють про збирання даних

Що нового

-Imeongeza ufanisi.

Підтримка додатка

Про розробника
JUSTIN DIVA BULENGA
Sile, Kigamboni , Dar es Salaam Dar es Salaam 17102 Tanzania
undefined

Awesomecode Tanzania: інші додатки