Kitabu cha Tumaini Kuu, toleo la kiswahili kama lilivyotolewa toleo la toleo la Kingeleza; Tumaini Kubwa.
Hiki ni kitabu cha Tumaini kuu ambacho kimewekwa katika mfumo wa matumizi ya simu mtumiaji ataweza kusoma bila hata ya kuwa na internet (offline application).
Kupitia hiki kitabu cha Tumaini kuu. Utaelewa uchunguzi unaobainisha ukweli wa pambano kati ya wema na ubaya pamoja na mshindi wake.
Ilisasishwa tarehe
2 Jun 2024