Biblia Takatifu pamoja na saut

Ina matangazo
4.5
Maoni elfu 27.3
1M+
Vipakuliwa
Daraja la maudhui
PEGI 3
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini

Kuhusu programu hii

Biblia ya Kiswahili ni biblia toleo la “Swahili Union Version (SUV)” kwa ajili ya vifaa vyako vinavyotumia android. Inakuja na biblia yenye sauti pamoja na matoleo mengine ya Biblia za Kiingereza, kwa kutumia uwezo wa kifaa cha android kwa ajili ya jamii za watu wote wanaoongea Kiswahili (Burundi, DR Congo, Kenya, Mayotte, Comorian, Mozambique, Oman, Rwanda, Tanzania, Uganda). Toleo hili la biblia ya Kiswahili ni rahisi kusoma, kuelewa na inatumika kwa wingi katika jamii yote ya watu wanaoongea Kiswahili (Burundi, DR Congo, Kenya, Mayotte, Mozambique, Oman, Rwanda, Tanzania, Uganda).

Biblia ya Kiswahili ina teknolojia mpya ya android na ni rahisi sana kutumia. Inafanya kazi kikamilifu bila hata kuwa na intaneti na imejaa vitu vya kukuweze kujifunza vyema.

Biblia ya Kiswahili inakuja na,

-Inakuja na Biblia yenye Sauti
- Endelea mahali ulipoishia kwa urahisi kupitia Alama ya Ukurasa
- Mistari muhimu


- Weka alama katika mistari uliyoipenda zaidi kwa rangi tofauti na unaweza kubadilisha kupitia sehemu ya mipangilio
- Maandiko
- Andika mawazo yako na yatakuwa ni siri na unayaona wewe tu,
- Chagua ukubwa, rangi, staili ya fonti pia nafasi kati ya herufi kama unavyotaka.

- Ukiachilia mbali Biblia yako ya Kiswahili unayoipenda, unaweza pia kupata Biblia ya Kiingereza kama vile matoleo ya KJV, NET, BBE bila kuwa na intaneti.

- Hii ni kwa ajili ya wale wanaotaka kuchimba ndani zaidi katika neon la Mungu. Kuna vitu sita vya kukusaidia kukuza Imani yako ya Kikiristo.
Pia zimewekwa.

- Kunakili na Kuweka mistari kwa urahisi
- Kushirikisha wengine mistari kwa urahisi kwa kupitia mitandao ya kijamii kama Facebook, Twitter, SMS, Weibo, WhatsApp, Skype, etc.
- Biblia ya Kiswahili inakuja ikiwa imekamilika na Agano Jipya pamoja na Agano la Kale. Ina kasi n ani rahisi kutumia. Chukua Biblia yako ya Kiswahili popote unapoenda.
Ilisasishwa tarehe
22 Nov 2024

Usalama wa data

Usalama huanza kwa kuelewa jinsi wasanidi programu wanavyokusanya na kushiriki data yako. Faragha ya data na mbinu za usalama zinaweza kutofautiana kulingana na matumizi yako, eneo ulilopo na umri wako. Msanidi programu ametoa maelezo haya na anaweza kuyasasisha kadiri muda unavyopita.
Hakuna data inayoshirikiwa na wengine
Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi wasanidi programu wanavyobainisha kushiriki data
Hakuna data iliyokusanywa
Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi wasanidi programu wanavyobainisha ukusanyaji wa data
Data haijasimbwa kwa njia fiche
Data haiwezi kufutwa

Ukadiriaji na maoni

4.5
Maoni elfu 26.6
Zakaria Namati
25 Juni 2022
nisuri
Mtu mmoja alinufaika kutokana na maoni haya
Je, maoni haya yamekufaa?
Willson Dauson
25 Mei 2023
Nzuri sana
Je, maoni haya yamekufaa?
Daudi Sinihayo
21 Februari 2021
thank you for this version, its wonderfull
Watu 4 walinufaika kutokana na maoni haya
Je, maoni haya yamekufaa?