Unaweza kuchagua kuona skrini zifuatazo:
Sabaot pekee
Sabaot na Kiswahili kwenye skrini moja
Sabaot na Kiingereza kwenye skrini moja
Kwa Sabaot, unaweza kuruhusu simu au kompyuta yako kibao kupakua faili za sauti za mp3 ambazo zitahifadhiwa kwenye kifaa chako kwa matumizi zaidi. Ukiwasha kipaza sauti kidogo kwenye sehemu ya juu ya kulia ya skrini yako, na ubofye kitufe cha «cheza», unaweza kusoma na kusikiliza maandishi yaliyosawazishwa.
Ilisasishwa tarehe
15 Sep 2023