Michezo ya Kujifunza Watoto 4+

Ina matangazoUnunuzi wa ndani ya programu
elfu 100+
Vipakuliwa
Daraja la maudhui
PEGI 3
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini

Kuhusu mchezo huu

Karibu kwenye Mji wa kujifunza. Michezo bora ya kujifunza kwaajili ya watoto wenye Umri wa Miaka 4,5,6,7,8. Mji wa kujifunza ni programu kamili ya elimu kwa watoto ambapo watoto wanaweza kujifunza hesabu, 123, namba,alfabeti, tahajia, na kuona maneno kwa kucheza michezo mingi ya elimu ndani ya 3D. App hii ni nzuri kwa watoto wa kiwango cha kwanza,kiwango cha pili, na kiwango cha tatu.

App hii inashirikisha, ya kufurahisha, na kuelimisha ambapo itamfanya toddla wako ajifunze dhana ya hesabu ngumu kama fufwa, na namba witiri, kujumlisha, kutoa, kuzidisha, kugawanya, maneno, na tahajia kwa urahisi. Michezo yetu ya elimu kwa watoto ni michezo ya kufurahisha ya kujifunza mahususi kwa watoto wa kiwango cha kwanza, kiwango cha pili, na kiwango cha tatu.

Mji wa Kujifunza ni programu nzuri ya elimu kwa mtoto wako mwenye umri wa miaka 4,5,6,7 & 8.
Michezo hii ya kujifunza haihusishi tu kumfunza mtoto ila pia ni ya kufurahisha wakati anajifunza. Michezo hii itamsaidia mtoto wako kukuza umakini, ujuzi wa stadi za kazi, kumbukumbu, kuhisi namba, na kujiamini.


Wasifu:
• Michezo ya kujifunza 12+ kwaajili ya watoto bila malipo
• Jifunze hesabu, kuhisi namba, namba shufwaa na witiri, alphabeti,maneno, tahajia, na mengi zaidi
• Maudhui mengi na michezo kwajili yakujifunza kwa furaha.
• Inafanya kazi bila intaneti
• Haina MATANGAZO, salama kabisa kwa watoto
• Picha za rangi katika 3D kwa uzoefu mzuri wa kujifunza
• Michezo ya kufurahisha na kushirikisha ili kujifunza kwa urahisi

Sasa unasubiri nini? Pakua Michezo ya kujifunza kwaajili ya watoto sasa na uanze safari ya elimu ya toddla wako.
Ilisasishwa tarehe
4 Jan 2023

Usalama wa data

Usalama huanza kwa kuelewa jinsi wasanidi programu wanavyokusanya na kushiriki data yako. Faragha ya data na mbinu za usalama zinaweza kutofautiana kulingana na matumizi yako, eneo ulilopo na umri wako. Msanidi programu ametoa maelezo haya na anaweza kuyasasisha kadiri muda unavyopita.
Hakuna data inayoshirikiwa na wengine
Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi wasanidi programu wanavyobainisha kushiriki data
Hakuna data iliyokusanywa
Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi wasanidi programu wanavyobainisha ukusanyaji wa data
Kujitolea kufuata Sera ya Familia ya Google Play

Vipengele vipya

In this version, we have added 8 new levels and fixed some annoying bugs for the best learning experience. Update now!