Programu ya Google One hukuwezesha kuhifadhi nakala ya data iliyo kwenye simu yako kiotomatiki na kudhibiti hifadhi yako ya wingu kwenye Google. • Hifadhi nakala ya vitu muhimu vilivyo kwenye simu yako kiotomatiki, kama vile picha, anwani na SMS kwa kutumia nafasi yako ya hifadhi ya GB 15 isiyolipishwa iliyo kwenye kila akaunti ya Google. Ukivunja, upoteze au ubadilishe simu yako, unaweza kurejesha kila kitu kwenye kifaa chako kipya cha Android. • Dhibiti nafasi ya hifadhi iliyopo kwenye akaunti yako ya Google inayotumika kwenye Hifadhi ya Google, Gmail na huduma ya Picha kwenye Google.
Sasisha upate uanachama wa Google One ili upate manufaa zaidi: • Pata nafasi kubwa ya hifadhi kadri utakavyo ya kuweka kumbukumbu, faili dijitali na miradi yako muhimu. Chagua mpango unaokufaa zaidi.
Ilisasishwa tarehe
23 Apr 2025
Kuongeza tija
Usalama wa data
arrow_forward
Usalama huanza kwa kuelewa jinsi wasanidi programu wanavyokusanya na kushiriki data yako. Faragha ya data na mbinu za usalama zinaweza kutofautiana kulingana na matumizi yako, eneo ulilopo na umri wako. Msanidi programu ametoa maelezo haya na anaweza kuyasasisha kadiri muda unavyopita.
Programu hii huenda ikaruhusu aina hii ya data ikafikiwa na washirika wengine
Taarifa binafsi
Programu hii huenda ikakusanya aina hizi za data
Mahali, Taarifa binafsi na nyingine8
Data inasimbwa kwa njia fiche inapotumwa
Unaweza kuomba data hiyo ifutwe
Ukaguzi huru wa usalama
Angalia maelezo
Ukadiriaji na maoni
phone_androidSimu
laptopChromebook
tablet_androidKompyuta kibao
4.0
Maoni elfu 716
5
4
3
2
1
Abass Shaban
Ripoti kuwa hayafai
18 Januari 2025
Saff
Abdinoor Omar
Ripoti kuwa hayafai
16 Machi 2023
Mnasemaje kuhusu hili Google One? Penda. Maoni. Shiriki.
Watu 19 walinufaika kutokana na maoni haya
Andinoor Omar
Ripoti kuwa hayafai
28 Septemba 2022
Mnasemaje kuhusu hili Google one? Penda. Maoni. Shiriki.
Watu 19 walinufaika kutokana na maoni haya
Vipengele vipya
Hitilafu zimerekebishwa na utendakazi kuboreshwa katika toleo hili.