Tenzi za Rohoni ni programu inayojumuisha mkusanyiko wa nyimbo 161 kutoka katika kitabu cha Tenzi Za Rohoni kwa lugha ya Kiswahili.
Programu hii imeandaliwa kukuwezesha kumwamudu Mungu kwa njia ya uimbaji mahali popote na muda wowote.
Sifa za program ni kama ifuatavyo:-
• Inahusisha eneo la kutafuta kutafuta wimbo kwa namba au kwa
neno unalokumbuka liwe jina la wimbo kwa Kiswahili, kwa kiingereza au maneno
yaliyo ndani ya wimbo.
• Inakuwezesha kuweka nyimbo unazozipenda katika orodha tofauti na hivyo kuupata
kwa urahisi wakati mwingine, pia unaweza kuuondoa pale unapoona kwenye.
• Inakuwezesha wimbo kwa njia ya ala za sauti (thanks to hymnserve.com for
wasindikizaji).
• Inakuwezesha kucheza hata ukiwa haupo kwenye programu
• Inakuwezesha kuona wimbo unaocheza ala ukiwa kwenye nyimbo zingine.
• Inakuwezesha kuona wimbo uliofungua mara ya mwisho kwa kuuangaza.
• Inakuwezesha ukubwa wa maandishi wa maneno ya kadri unavyoona
sawa.
• Inakuwezesha maneno ya wimbo na ndugu jamaa na marafiki kwa urahisi.
• Inakuwezesha kubadilisha muonekano wa programu katika mazingira ya
Mwanga au Giza ili kuwezesha uono usioumiza macho.
Ilisasishwa tarehe
18 Feb 2025