Nyimbo za Kristo ni programu inayojumuisha mkusanyiko wa nyimbo 220 kutoka katika kitabu cha Nyimbo za Kristo cha kanisa la Waadventista Wasabato kwa lugha ya Kiswahili kama kilivyohaririwa na kuchapwa na TANZANIA ADVENTIST PRESS (TAP).
Programu hii imeandaliwa kukuwezesha kumuamudu Mungu kwa njia ya uimbaji mahali popote na muda wowote, Nyimbo za kuburudisha, kutia moyo na kukufariji wakati wa huzuni.
Sifa za program ni kama ifuatavyo:-
• Inahusisha eneo la kutafuta kutafuta wimbo kwa namba au kwa
neno unalokumbuka liwe jina la wimbo kwa Kiswahili, kwa kiingereza au maneno
yaliyo ndani ya wimbo.
• Inakuwezesha kuweka nyimbo unazozipenda katika orodha tofauti na hivyo kuupata
kwa urahisi wakati mwingine, pia unaweza kuuondoa pale unapoona kwenye.
• Inakuwezesha kuona nyimbo kwa jina.
• Inakuwezesha wimbo kwa njia ya ala za sauti (thanks to hymnserve.com for
wasindikizaji).
• Inakuwezesha kucheza ala ya wimbo hata usipokuwa kwenye programu
• Inakuwezesha kuona wimbo unaocheza
• Inakuwezesha ukubwa wa maandishi wa maneno ya kadri unavyoona
sawa.
• Inakuwezesha kuona wimbo uliofunguliwa mara ya mwisho kwa kuuangaza.
• Inakuwezesha maneno ya wimbo na ndugu jamaa na marafiki kwa urahisi.
• Inakuwezesha kubadilisha muonekano wa programu katika mazingira ya
Mwanga au Giza ili kuwezesha uono usioumiza macho.
Ilisasishwa tarehe
1 Mei 2025