Diary binafsi kwa ajili ya kuhifadhi matukio, mawazo, safari zako za kila siku, ...
Sifa:
* Funga diary yako na neno la siri.
* Fonti za aina tofauti tofauti.
* Uwezo wa kubadilisha rangi ya maandishi.
* Badilisha ukubwa wa maandishi.
* Makablasha ya kupangilia jalida lako.
* Inakukumbusha kurekebisha diary yako.
* Unaweza kushirikisha wengine.
* Uwezo wa Rich text: uchaguzi wa bold, italic, kupigia mstari, kukata mstari wa kati na kuhighlight.
* Widget
* Theme ya mwanga na theme ya giza.
* Inawezesha kubadili sauti kuwa maneno.
* Unaweza kutunza nakala na kuirejesha.
* Inaweza kutumika kwa mlalo au kwa kusimama.
Ilisasishwa tarehe
14 Mac 2025