Tenzi Za Rohoni

Nakupi v aplikaciji
1 mio.+
Prenosi
Kategorija vsebine
PEGI 3
Slika posnetka zaslona
Slika posnetka zaslona
Slika posnetka zaslona
Slika posnetka zaslona
Slika posnetka zaslona
Slika posnetka zaslona
Slika posnetka zaslona
Slika posnetka zaslona

O tej aplikaciji

Tenzi za Rohoni ni v programu inayojumuisha mkusanyiko wa nyimbo 161 strani katika kitabu cha Tenzi Za Rohoni kwa jezik kiswahili.
Programu hii imeandaliwa kukuwezesha kumwamudu Mungu kwa njia ya uimbaji mahali popote na muda wowote.

Sifa za program ni kama zifuatazo:-

• Inahusisha eneo la utafutaji ambapo unaweza kutafuta wimbo kwa namba au kwa
neno unalokumbuka liwe jina la wimbo kwa kiswahili, kwa kiingereza au maneno
yaliyo ndani ya wimbo.

• Inakuwezesha kuweka nyimbo unazozipenda katika orodha tofauti na hivyo kuupata
kwa urahisi wakati mwingine, pia unaweza kuuondoa pale unapoona inafaa.


• Inakuwezesha kufuatilia wimbo kwa njia ya ala za sauti (hvala hymnserve.com za
spremljave).

• Inakuwezesha kucheza ala hata ukiwa haupo kwenye program

• Inakuwezesha kuona wimbo unaocheza ala ukiwa kwenye nyimbo zingine.

• Inakuwezesha kuona wimbo uliofungua mara ya mwisho kwa kuuangaza.

• Inakuwezesha kukuza ukubwa wa maandishi wa maneno ya wimbo kadri unavyoona
inafaa.


• Inakuwezesha kushiriki maneno ya wimbo na ndugu jamaa na marafiki kwa urahisi.

• Inakuwezesha kubadili muonekano wa program unaofaa katika mazingira ya
Mwanga au Giza ali kuwezesha uono usioumiza macho.
Posodobljeno dne
18. feb. 2025

Varnost podatkov

Razumevanje, kako razvijalci zbirajo in razkrivajo vaše podatke, je prvi korak do varnosti. Varovanje podatkov in zagotavljanje varnosti podatkov se morda razlikujeta glede na vašo uporabo, območje in starost. Razvijalec je zagotovil te podatke in jih bo sčasoma morda posodobil.
Podatki se ne razkrivajo drugim ponudnikom
Preberite več o tem, kako razvijalci najavijo deljenje.
Zbranih ni bilo nič podatkov.
Preberite več o tem, kako razvijalci najavijo zbiranje.

Novosti

-Imeongeza ufanisi.

Podpora za aplikacijo

O razvijalcu
JUSTIN DIVA BULENGA
Sile, Kigamboni , Dar es Salaam Dar es Salaam 17102 Tanzania
undefined

Več od razvijalca Awesomecode Tanzania