Kitabu cha Tumaini Kuu, toleo la kiswahili kama lilivyo tafasiliwa kutokea toleo la Kingeleza; Grote Hoop.
Hiki ni kitabu cha Tumaini kuu ambacho kimewekwa katika mfumo wa applicatie ya simu, mtumiaji ataweza kusoma bila hata ya kuwa na internet (offline applicatie).
Kupitia hiki kitabu cha Tumaini kuu. Utaelewa uchunguzi unaobainisha ukweli wa pambano kati ya wema na ubaya pamoja na mshindi wake.