Nyimbo za Kristo ni programu inayojumuisha mkusanyiko wa nyimbo 220 kutoka katika kitabu cha Nyimbo za Kristo cha kanisa la Waadventista Wasabato kwa lugha ya Kiswahili kama kilivyohaririwa na kuchapwa na TANZANIA ADVENTIST.
Programu hii imeandaliwa kukuwezesha kumuamudu Mungu kwa njia ya uimbaji mahali popote na muda wowote, Nyimbo za kuburudisha, kutia moyo na kukufariji wakati wa huzuni.
Sifa za program ni kama zifuatazo:-
• Инахусиша энео ла утафутажи амбапо унавеза кутафута вимбо ква намба ау ква
neno unalokumbuka liwe jina la wimbo kwa Kiswahili, kwa kiingereza au maneno
yaliyo ndani ya wimbo.
• Инакувезеша кувека ныимбо уназозипенда катика ордха тофаути на хивё куупата
kwa urahisi wakati mwingine, pia unaweza kuuondoa pale unapoona inafaa.
• Инакувезеша куона ныимбо ква макунди.
• Inakuwezesha kufuatilia wimbo kwa njia ya ala za sauti (hymnserve.com-д баярлалаа.
дагалдах хэрэгсэл).
• Inakuwezesha kucheza ala ya wimbo hata usipokuwa kwenye programu
• Inakuwezesha kuona wimbo unaocheza
• Инакувезеша кукуза укубва ва маандиши ва манено я вимбо кадри унавёона
инфаа.
• Inakuwezesha kuona wimbo uliofunguliwa mara ya mwisho kwa kuuangaza.
• Инакувезеша куширики манено я вимбо на ндугу жамаа на марафики ква урахиси.
• Инакувезеша кубадили муонекано ва програму унаофаа катика мазингира я
Мванга ау Гиза или кувезеша уоно усиоумиза мачо.
Шинэчилсэн огноо
2025 оны 3-р сарын 2