Nyimbo za Kristo ni programu inayojumuisha mkusanyiko wa nyimbo 220 kutoka katika kitabu cha Nyimbo za Kristo cha kanisa la Waadventista Wasabato kwa lugha ya Kiswahili kama kilivyohaririwa na kuchapwa na TANZANIA ADVENTIST PRESS(TAP).
Programu hii imeandaliwa kukuwezesha kumuamudu Mungu kwa njia ya uimbaji mahali popote na muda wowote, Nyimbo za kuburudisha, kutia moyo na kukufariji wakati wa huzuni.
Sifa za 프로그램 ni kama zifuatazo:-
• 이나후시샤 에네오 라 우타후타지 암바포 우나웨자 쿠타후타 윔보 콰 난바 아우 콰
neno unalokumbuka liwe jina la wimbo kwa Kiswahili, kwa kiingereza au maneno
yaliyo ndani ya wimbo.
• Inakuwezesha kuweka nyimbo unazozipenda katika orodha tofauti na hivyo kuupata
kwa urahisi wakati mwingine, pia unaweza kuuondoa pale unapoona inafaa.
• Inakuwezesha kuona nyimbo kwa makundi.
• Inakuwezesha kufuatilia wimbo kwa njia ya ala za sauti(hymnserve.com에 감사드립니다)
반주).
• Inakuwezesha kucheza ala ya wimbo hata usipokuwa kwenye programu
• 이나쿠웨제샤 쿠오나 윔보 우나오체자
• 이나쿠웨제샤 쿠쿠자 우쿠브와 와 마안디시 와 마네노 야 윔보 카드리 우나뵤나
inafaa.
• Inakuwezesha kuona wimbo uliofunguliwa mara ya mwisho kwa kuuangaza.
• Inakuwezesha kushiriki maneno ya wimbo na ndugu jamaa na marafiki kwa urahisi.
• Inakuwezesha kubadili muonekano wa programu unaofaa katika mazingira ya
Mwanga au Giza ili kuwezesha uono usioumiza macho.