Nyimbo Za Kristo

Rakendusesisesed ostud
100 tuh+
Allalaadimised
Sisu reiting
PEGI 3
Ekraanipilt
Ekraanipilt
Ekraanipilt
Ekraanipilt
Ekraanipilt
Ekraanipilt
Ekraanipilt
Ekraanipilt

Rakenduse teave

Nyimbo za Kristo ni programu inayojumuisha mkusanyiko wa nyimbo 220 kutoka katika kitabu cha Nyimbo za Kristo cha kanisa la Waadventista Wasabato kwa lugha ya Kiswahili kama kilivyohaririwa na kuchapwa na TANSAANIA ADVENT (TANSAANIA ADVENT).
Programmu hii imeandaliwa kukuwezesha kumuamudu Mungu kwa njia ya uimbaji mahali popote na muda wowote, Nyimbo za kuburudisha, kutia moyo na kukufariji wakati wa huzuni.



Sifa za programm ni kama zifuatazo:-

• Inahusisha eneo la utafutaji ambapo unaweza kutafuta wimbo kwa namba au kwa
neno unalokumbuka liwe jina la wimbo kwa kiswahili, kwa kiingereza au maneno
yaliyo ndani ya wimbo.

• Inakuwezesha kuweka nyimbo unazozipenda katika orodha tofauti na hivyo kuupata
kwa urahisi wakati mwingine, pia unaweza kuuondoa pale unapoona inafaa.

• Inakuwezesha kuona nyimbo kwa makundi.

• Inakuwezesha kufuatilia wimbo kwa njia ya ala za sauti (tänu saidile hymnserve.com
saated).

• Inakuwezesha kucheza ala ya wimbo hata usipokuwa kwenye programu

• Inakuwezesha kuona wimbo unaocheza

• Inakuwezesha kukuza ukubwa wa maandishi wa maneno ya wimbo kadri unavyoona
inafaa.

• Inakuwezesha kuona wimbo uliofunguliwa mara ya mwisho kwa kuuangaza.

• Inakuwezesha kushiriki maneno ya wimbo na ndugu jamaa na marafiki kwa urahisi.

• Inakuwezesha kubadili muonekano wa programu unaofaa katika mazingira ya
Mwanga au Giza või kuwezesha uono usioumiza macho.
Värskendatud:
2. märts 2025

Andmete ohutus

Ohutus algab selle mõistmisest, kuidas arendajad teie andmeid koguvad ja jagavad. Andmete privaatsuse ja turvalisuse tavad võivad olenevalt kasutusviisist ning teie piirkonnast ja vanusest erineda. Selle teabe esitas arendaja ja seda võidakse aja jooksul värskendada.
Kolmandate osapooltega ei jagata andmeid
Lisateave selle kohta, kuidas arendajad andmete jagamisest teada annavad
Andmeid ei koguta
Lisateave selle kohta, kuidas arendajad andmete kogumisest teada annavad

Mis on uut?

Imetatua program kujifunga kwa baadhi ya simu.

Rakenduse tugi

Teave arendaja kohta
JUSTIN DIVA BULENGA
Sile, Kigamboni , Dar es Salaam Dar es Salaam 17102 Tanzania
undefined

Rohkem arendajalt Awesomecode Tanzania