Hii ni programu tumishi isiyohitaji mtandao (offline aplikace) kwa ajili ya kurahisisha upatikanaji wa nyimbo za Kristo zote za kiadventista (SDA svahilský zpěvník) kama zilivyo pangiliwa katika kitabu.
Program hii ya Nyimbo za Kristo inakuja ikiwa ina mp3 ya kila wimbo isipokua nyimbo chache tu, Pia program itamurahisishia mtumiaji kuweza kufahamu namba ya wimbo husika katika vitabu vingine (kbuwamfay) Kristo Nyimbo
Datum aktualizace
9. 4. 2025
Knihy a referenční materiály